KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya SIMBA SC.
1. Nitahakikisha nalipa Ada yangu ya uanachama kwa uaminifu mkubwa mno
2. Nitachangia mapato ya timu kwa kununua jezi za Mashindano yote at once.
3. Nitaungana na wanasimba wote kutangaza bidhaa za Mo bure kabisa (kama wafanyavyavyo sasa).
Mpira una matokeo matatu lakini kwa namna waarabu walivyokamia najua siwezi kuhamia kwa timu robo fainal hata kidogo.
WAHED.