Najiandaa kwenda Canberra Australia kwa mchepuko wangu,Tuombeane

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Bwana yesu asifiwe,

Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna mchepuko wangu mwingine tena nilikuwa naishi nae kipindi nafanya kazi 🇪🇹 makao makuu ya umoja wa Afrika na yeye amenicheki nikamle kwanza then nitapanda ndege ya 🇪🇹 airline mpaka Sydney then pale nitachukua train hadi Canberra

Kiukweli naomba tuombeane safari safari njema lakini nikivutiwa na maisha ya Canberra naweza nikabakia huko huko kuna safari moja nilienda na nilikula sana mbususu kwa sababu mchepuko wangu alisafiri alielekea London.

",mapendo daima,daima milele"
 
Kila heri mkuu Utuwakilishe vyema kimataifa huko kwenye kula mbususu.
 
Bwana yesu asifiwe,

Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna mchepuko wangu mwingine tena nilikuwa naishi nae kipindi nafanya kazi 🇪🇹 makao makuu ya umoja wa Afrika na yeye amenicheki nikamle kwanza then nitapanda ndege ya 🇪🇹 airline mpaka Sydney then pale nitachukua train hadi Canberra

Kiukweli naomba tuombeane safari safari njema lakini nikivutiwa na maisha ya Canberra naweza nikabakia huko huko kuna safari moja nilienda na nilikula sana mbususu kwa sababu mchepuko wangu alisafiri alielekea London.

",mapendo daima,daima milele"
Ukija kutuambia unatafuta mwana Saikolojia Tukakaaa pale
 
Yaani tukuombee kwaajili ya kwenda kufanya uzinzi🤔🤔🤔
Haya bwana, kawakilishe taifa.
 
Usisahau vumbi LA Congo mzee....pia pitia wizarani kabisa upewe na bendera ya taifa....
 
Bwana yesu asifiwe,

Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia [emoji1098] pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna mchepuko wangu mwingine tena nilikuwa naishi nae kipindi nafanya kazi [emoji1098] makao makuu ya umoja wa Afrika na yeye amenicheki nikamle kwanza then nitapanda ndege ya [emoji1098] airline mpaka Sydney then pale nitachukua train hadi Canberra

Kiukweli naomba tuombeane safari safari njema lakini nikivutiwa na maisha ya Canberra naweza nikabakia huko huko kuna safari moja nilienda na nilikula sana mbususu kwa sababu mchepuko wangu alisafiri alielekea London.

",mapendo daima,daima milele"
Kwa hiyo mkuu hawa wanawake milioni 31 waliopo bongo hujapata hata mmoja?
 
Back
Top Bottom