Najichukia uso wangu

"..Simple sana kuwa tu Mgomvi.."
 
Changamoto zA sura laini na uso bebi face;

Ukipewa kazi field, watu wazima wanaweza kuku puuza wakidhani tineja au mtoto asiyejua maisha. Si rahisi waje kukuomba ushauri.

Unaweza kua mkubwa ukashuhudia mdogo wako akipewa shikamoo na wewe ukiambiwa mambo.

Kuna kazi ukiomba si rahisi kuaminika. Wanakuona bado tender age.

Unakosa kuaminika hata kwa mambo madogo. Mbele zA watu. Kwa kuonekana hujakomaa.

Ukifanya utani kwa watu ni rahisi watu kukuita mtoto.
Ni rahisi watu kuamini kua huna nguvu. Wewe ni legelege.
Ni rahisi watu kudhani unajipodoa kama mwanamke.

Kimsingi kwenye jamii Unakua haukui mbele yao.

Kama jamaa anatafuta sura ngumu kwasababu kama hizi basi Ana haki hiyo.... Acha atafute tu ili heshima irudi...[emoji2]
 
Anza biashara ya kuuza mkaaa miez miwil
Ndugu sio vizuri kudharau kazi za watu. Ebu jiulize tu, bila huyo muuza mkaa ungekula vilivyoiva? Make 98% ya Umma wa Watz wanatumia mkaa.

Back to topic;
Mkuu unaetaka kuwa na sura ngumu fanya mazoezi ya kusugua uso wako kwenye sakafu mithiri ya wale jamaa zetu swala tano lazima utaota sugu..
 
Nashukuru kama umetambua maumiv yangu
 
Watu wanaakili za kuku kweli, yaani mtu na akili zake na usikute na shule kaenda, anafikiri uanaume ni kuwa na sura ngumu, sasa sura ngumu ndo ikoje?
 
Tafuta kambi ya jeshi jirani, ongea na afande uanze dozi ya makofi nakupa wiki tu mambo yatakuwa swadakta as per your wishes.
 
Kanywe ulevi wa kienyeji halafu kafanye kazi ya kuuza mitumba kariakoo. Na uso wako ukishapayuka kama dingi wa miaka 50 wakati ukiwa na miaka 30 leta mrejesho. pumbavu kabisa
 
Watu laini laini kama wewe wanachangamoto mno, hasa wakikutana na mabasha anza kuachia vindevu flani vikomaze shavu hilo siyo unanyoa zote unakuwa kama a little baby girl
 
Watu wanaakili za kuku kweli, yaani mtu na akili zake na usikute na shule kaenda, anafikiri uanaume ni kuwa na sura ngumu, sasa sura ngumu ndo ikoje?
Rejea #2013said
 
Inawezekana unajiona unauso mlaini kati ya waliokuzunguka. Tembea
 
una ki_Baby face pole sana fuga ndevu afu uwe mtu wa kukunja ndita
 
Weka picha
 


Una tumia akili nyingi kuutafakari uso wako, tumia Muda huo kufanya issue za kutafuta pesa uwe kama bilget uso utakuwa mgumu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…