hahaaa. English only plsNini maana ya empty set na rubbish
teheeeNauliza mkuu nimeona hili neno sana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86]
Baba amekuja kazini amechokaKiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya
Nk
Daddy you need a rest, you must be tiredKiswahili kila linapotokea yafuatayo tunampa mhusika pole. Je kwa kiingereza utamwambiaje mtu katika mazingira haya?
1. Baba amekuja kazini na amechoka.
2. Umeenda kumtembelea mtu aliyefiwa.
3. Umemkanyaga mtu kwa bahati mbaya
Nk