Soma novel, vitabu vya hadithi vya Kiingereza, ukizingatia jinsi wanavyounganisha sentensi. Sikiliza taarifa za habari au filamu uone jinsi ya kutamka neno kwa neno.
Tumia kamusi, Kiingereza kwa Kiingereza, kujua maana za maneno kwa kufuata maelezo yaliyotolewa.