Najihisi nina tatizo nisaidieni


Wala sikuguswa. . .
Ni mshangao tu!!
 
sikuchukii ila sijajua kama unataka nikupende
now nitaanza ku pay attention....

Kila mtu anataka kupendwa.Nikijua unanipenda nitafurahi tatizo sijui unaowapenda wanafanyaje hadi unawapenda.
Hata hivyo sitafake kuwa kile nisichokua ili the boss anipende japo napenda anipende.Lakini labda nikionesha kuwa nampenda the boss labda hicho kitafaanya awe na chembe ya upendo kwangu hata kama mitazamo yangu(kama ule wa juzi) haipendi.
 

you are welcome...
 
pole cheusie,hope ni vizuri kuwaona wataalam kama ulivyoshauriwa.amin utakua normal.all da best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…