mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Asante yaitwaje hiyo after shave mkuu
Amele au rfsu lakini jaribu kuuliza duka la macream...Asante yaitwaje hiyo after shave mkuu
Habari wana Jf,
Napata taabu sana inapofikia muda wa kufanya zoezi la usafi kunyoa makwapani na sehemu za siri napata muwasho sana. Nimejaribu kutumia aina tofauti za nyembe.
Mashine za kunyolea hata shaving cream nimeshatumia, ila matokeo ni hayo ya muwasho mkali na kujikuna. Nikiona nywele zimeota tu naanza kuwaza jinsi ntakavyoteseka mara baada ya kuziondoa.
Na katika hali ya kawaida siwezi kuvumilia kukaa na manywele bila kuondoa maana ni chanzo cha uchafu nsaidieni kama ipo njia nyingine salama zaidi
Waxing ndio kiboko ya yote hayo..unapiga ile kitu unakaa miezi miwili hadi mitatu ndio zinaanza kuchipua! achana na topaz!
Tumia mkasi kupunguza hivo vinyoleo au unaweza kujaribu waxing,lakini nadhani utawashwa vilevile....kuna after shaving cream za maeneo hayo ambazo unaweza kutumia kupooza vinyoleo baada ya kunyoa.Na ukiwa unatumia kiwembe tumia shaving gel kulainisha eneo kabla hujaanza kujikwangua!
Nielekeze waxing mkuu
Naomba nielekeze waxing mkuu.
Kuna wax za aina nyingi kama za madukani zilizokwisha tengenezwa na za kienyeji ni sukari ilopikwa na maji ikaweka juisi ya limau inakuwa nzitoo kama shira..unatumia na vipande vya kitambaa vyeupe.Unapaka hio sukari kwenye vinyoleo na kuweka kitamba,kandamiza taratibu sekunde kadhaa kisha kivute kwa nguvu!kwahio kitaondoa vinyoleo vyote...
Onyo: tegemea maumivu
Nenda Unisex saloon hizi zakawaida ni very cheap elf 5 tu no kuwasha no Ngwaraaa Ngwaraaa
Nataka ya dukani, hayo ya sukari nitajikuta nakula yote.
Inafaa kunyolea ndevu?