Najikuna sana nikinyoa

Waxing ndio kiboko ya yote hayo..unapiga ile kitu unakaa miezi miwili hadi mitatu ndio zinaanza kuchipua! achana na topaz!
Hii Kali mkuu miezi miwili mpaka mitatu hakioti kitu nabado unapumua tu?.pole zenu
 
nyoa kipara kabisa harafu ukishatoa paka mafuta ya mgando meng sehem zote ulizonyoa kila unapoenda kuoga kisha mwagia poda ile ya watoto baada ya kupaka mafuta fanya hivyo kila unapoenda kuoga ni siku 2 tu then unakuwa poa hakuna muwasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…