Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

Hongera sana mrembo wetu kwa kuongea miaka mwingine .... nadhani zawadi zako utazikuta lile jukwaa letu la chini kabisa...😀😀
 
Ahsante sana Kan'tangaze oooops nimesahau kumbe sasa ni Maserati, hahahaha nashukuru sana ndugu yangu
Duh!!!nishalisahau hilo jina iseee. Karibu Karibu,furahia siku yako. Mimi ikifikaga ya kwangu huwa Nina furahi mno siku hiyo. So enjoy it
 
Hongera sana mrembo wetu kwa kuongea miaka mwingine .... nadhani zawadi zako utazikuta lile jukwaa letu la chini kabisa...😀😀
hhahaahahahh, bucho, ahsante naisubiria huko huko hahahahaahahah
 
happy birthday to u chikira Yesu azidi kukutunza uishi miaka mingiiiii
 
Ahsante QUIGLEY nitaipokea hata picha yake tu ninapata ile makisimamu satisifakisheni, hahahahahahahahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una akili nyingi wewe, umenisoma ninacho maanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…