Happy birthday Chikira,Mungu akupe maisha marefu mama,na pesa pia hahahaaaa.Naitaka Nifah,naitaka mpendwa Nifah wangu wa The Bold
Wana JF mpogo!
Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.
Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.
Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi
I prefer pesa to maua/kadi
hahahahah, mbona mifugo itaisha,hahahahHappy bbirthday CHIKIRA MTABARI
Huu mwezi huu hahaha
Kila wiki ya mwezi may nachinja kwio kwioooo
Smart911
hahahahahah, ahsante Nifah, na mie nimemuiga Miss Chagga kupenda pesa, hahahahahahHappy birthday Chikira,Mungu akupe maisha marefu mama,na pesa pia hahahaaaa.
[emoji512] [emoji323] [emoji322]
Ahsante sana Mkuu GENTAMYCINE, pia nakushukuru kwa kunijali ila sina mpango wa kutumia "NDOM" acha iniue tu potelea mbali, hahahahahahahHappy Birthday sana Mkuu ILA kumbuka tu AIDS KILLS. Kila la kheri!
And so do I, thanks mahondawI'm happy for you chikira
Very very happy
Ahsante sana Mkuu GENTAMYCINE, pia nakushukuru kwa kunijali ila sina mpango wa kutumia "NDOM" acha iniue tu potelea mbali, hahahahahahah
hahahaha, umejuajee, haswaaaaaaaaaa!!!Kwa ' lugha ' nyepesi ni kwamba Mkuu umeamua ' Kujilipua ' au siyo?
hahahaha, umejuajee, haswaaaaaaaaaa!!!
hahahahah, mbona mifugo itaisha,hahahah
hahahha, nataka za wahindi zenye "mifuniko" hahahahah byeeeeee (nduki)Sawa nakutakia tu ' ujilipuaji ' mwema mbele ya ' Mbunye ' za Kiswahili / Kitanzania.
Ahsante sana salim kimosa kumbe wote ni nyota ya "ng'ombe"
Haswaaaakabisa, nyota ya bahati
Wana JF mpogo!
Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.
Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.
Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi
I prefer pesa to maua/kadi
Ahsante sana wa home wangu, nashukuru wa zawadi pokea upako kwa jina la Yesu
SIO WA YULE JAMAA WA KUAMSHA DUDE?Ahsante sana wa home wangu, nashukuru wa zawadi pokea upako kwa jina la Yesu