Najipongeza kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa leo

Wana JF mpogo!

Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5.

Naomba muungane nami katika siku hii ya leo.

Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi

I prefer pesa to maua/kadi
happy birthday Chikky(heheheh nmefupisha walau litamkike kimahaba zaidi)
 
happy birthday Chikky(heheheh nmefupisha walau litamkike kimahaba zaidi)
hahahahahahaahhahhaahaha, ahsante Tobby na mie pia nimefupisha la kwako hahahhahahahahahahahah
 
Ahsante rafiki yangu Ngushi, ya kwako ikifika unikumbushe nikutumie zawadi, tena uwe wazi unapenda zawadi gani (ila iwe affordable) hahahahahahahah, usije ukasema gari aina ya hammer tehe tehe. yote kwa yote ahsante sana my rafiki
Ha haaa haaaa usipotuma nakushtaki kwa mamod wakupige ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…