Mtewele isaya
Member
- Jan 3, 2024
- 13
- 10
Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
Kilo moja bei ganiNaitwa isaya mtewele kwa sasa napatikana ifakara najishughulisha nakupoint mchele kutoka hapa ifakara kwenda dar kwa mwenye uhitaji anaweza nicheki kwa namba 0719003163
1200 mchele wa kawaida inabadilika kutokana na aina ya mchele mpaka 1800Kilo moja bei gani
AminiKAZI ni kipimo cha UTU
PamojaSawa Isaya
Super inanzia 1600 mpaka 1800Supa bei gani kwa sasa
Sema na idadi ya kilo unazoanza kuuza Mkuu, unaweza ukapigiwa simu na mtu yupo Dar anataka kilo 2 za mchele, watu vichwa nimepata moto na hii hali ya maisha kukaza 'Kizimkazi Mporomoko Uchumi Doro'
Uje DM unieleze zinanifikiaje kilo 50 mimi mkazi wa mkuranga, na gharama yake ikoje ukijumlisha na usafiri ili nipime unafuu uko wapi kati yako na jirani yangu Muha muuza duka.
Poa hamna shidah au nije nipime mpunga tu. Hapohapo miwanganiNipo Idandu huku mbele ya Miwangani. Namalizia kupiga mpunga wangu. Baada ya kupiga tu nitauleta hapo Viwanja 60 kuukoboa ili nipate hela chap.
Nije nipime mpunga uchukue hela yako chap kusafirisha gharama yangu mwenyeweNipo Idandu huku mbele ya Miwangani. Namalizia kupiga mpunga wangu. Baada ya kupiga tu nitauleta hapo Viwanja 60 kuukoboa ili nipate hela chap.