N ngyani New Member Joined Mar 18, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Mar 20, 2015 #1 Habari wanajamii.Najisikia furaha kuwa mahali hapa. Mimi ni mwana taaluma kwenye sekta ya elimu. Nawasalimu na tutakuwa wote katika jamvi hili katika kuhabarishana na kubadilishana mawazo ili kuweza kuendeleza gurudumu la elimu Tanzania
Habari wanajamii.Najisikia furaha kuwa mahali hapa. Mimi ni mwana taaluma kwenye sekta ya elimu. Nawasalimu na tutakuwa wote katika jamvi hili katika kuhabarishana na kubadilishana mawazo ili kuweza kuendeleza gurudumu la elimu Tanzania