Najisikia huru zaidi kuitwa Mtanganyika badala ya Mtanzania

nimezaliwa mtanzania siijui Tanganyika.
tukiachana na tishio la kuogopa Zanzibar kupinduliwa tena na mwaarabu mpaka kuzaa muungano wa mchongo,ni kwanini Nyerere alikubali kuifuta Tanganyika?
 
Hiyo ni hiyari yako hata ukijiita msomali mtutuki yote ni wewe tu.
 
I dont feel anything about Tanganyika wala Tanzania

Both are stupid political creations by politicians

Fvck them

Fvck both 'em names!
 
nimezaliwa mtanzania siijui Tanganyika.
tukiachana na tishio la kuogopa Zanzibar kupinduliwa tena na mwaarabu mpaka kuzaa muungano wa mchongo,ni kwanini Nyerere alikubali kuifuta Tanganyika?
Umbea wa chinichini ni kuwa ni wachawi ndiyo walioliinjinia hilo. Hata jina la Tanzania, kuna wanaodai kuwa majini yalishiriki kulitunga.
 
Tanganyika irudi,Tanzania imejaa laana.
Sio rahisi. Mifumo yote ya computer inaitambua 255 kama Tanzania.
Wale wa Zbar ni nchi na Tanganyika ni nchi, mifumo ya computer huko Duniani haiwatambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…