Najisikia vibaya kutembea na mke wa mtu

Fanya mambo mengine... Kurudia kosa ndiyo kosa...
 
Mtoa mada umeniwahi, na Mimi nimekuwa na incident exactly Kama hi yako.Nilitembea na mke na mtu na nimejutiq Sana kitendo hicho.

Mungu atusamehe Mimi na wewe.
Nimejutia tu maan nimemkosea, jamaaa pa kubwa saaana.
 
Sawa jisifu kuwa ni mtamu,lkn nakuhakikishia lazima utatiwa mikononi mwa mabaunsa muda si mrefu,nawe utatuliwe malinda uanze kutoka kinyesi km mwanamke mwenye fistula.
 
Masanja Mkandamizaji huyo................. nyuma yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…