Najiskia kucheka leo naomba mwenye hii nyimbo anitumie tafadhali

Naomba mwenye nyimbo ya Anord Schwarzenegger aliyoimba na bahati bukuku anitumie kwa tigopesa
Achana na hiyo kitu[emoji12] [emoji12] ni balaa,hiv ulisha kiona kichupa cha trump kamshirikisha jong un ni hatari ya danger ila kila nikiweka pdf inagoma sijui vp leo.Poa mwana ikikaa sawa nitakupm
 
Achana na hiyo kitu[emoji12] [emoji12] ni balaa,hiv ulisha kiona kichupa cha trump kamshirikisha jong un ni hatari ya danger ila kila nikiweka pdf inagoma sijui vp leo.Poa mwana ikikaa sawa nitakupm
Ahah hiyo inaweza kuwa Kali kama ile ya JPM na Jokate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…