umedelete kwenye simu au kwenye akili ..?hello wadau wa jf....nashukuru sana kwa mawazo yenu nyote. sasa mimi nimeamua to keep distance na yule kaka coz naona kama nakua namsumbua pale ninapompigia simu au kumtext sms. lakini tatizo ni kuwa najitahidi kutaka kumtoa/kumsahau akilini mwangu lakini najikuta nagonga mwamba. nimeamua kudelete namba yake labda itanisaidia katika plan yangu. ushauri tafadhali wa aina yoyote unapokelewa, nifanyeje nimtoe akilini mwangu....? mapenzi kweli yanaweza kumfanya mtu akawa mwehu.....nimeamini.
Jishughulishe na kazi zako tumia mda mwingi kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...
........asante gfsonwin.....najua mwanzo itaniwia vigumu lkn i have to. coz nimeumia sana naona time imefika ya kutake actions...thanx once againaisee kwanza bora kwa kumuacha kumbe mtu akiukubali ushauri mzuri inatia moyo kuendelea kumshauri tena. nja ya kumtoa akilini ni ndogo sana tafuta kitu mbadala wa yeye ila siyo mtu. like tafuta kazi ya kufanya ikueke bize for some days utaona ni siku ya kwanza tu ndo shida ila the rest inakuja automatic wala hutatumia msuli kumtoa akilini. jibidiishe katika ishu tofauti ila zisizokuwa za mapenzi kwasasa.
........asante gfsonwin.....najua mwanzo itaniwia vigumu lkn i have to. coz nimeumia sana naona time imefika ya kutake actions...thanx once again
tehe tehe mimi ni mhanga wa hayo mambo najua jinsi inavyoumiza mwanzoni hasa ukipenda sanaa jambo la msingi kuamua tena kukubali kupingana na ukweli ni hayo tu.....aiseee maganga mkweli ni kweli upande mmoja wa moyo unasema niendelee kujipa hope labda atarudi lakini upande mwingine unaniambia niendelee na life yangu. kuonana hatuonani mara kwa mara, tupo mikoa tofauti. ila kutokana na mateso ya moyo wacha tu niendelee na maisha yangu....by the way i lke hiyo quote yako naona niiapply tu.....like nothing happened...n life goes on...!!
delete hiyo namba, keep yourself busy find new hobby. Kuchua muda kuwa na marafiki...utamsahau!
.....aiseee.....unajua mtu unapokumbwa na tatizo unahisi kama you are alone in a lost world....kumbe wapo pia waliokumbwa na tatizo lako. ilikua vizuri nilivo funguka.....asante jf...!!! thanx Nyakwaratony for ur advice....wabeja..!!!Pole mymy hata mimi niliwahi kupata hali kama hiyo.... hebu jaribu kukumbuka mabaya ambayo aliwahi kukufanyia halafu utamsahau tu. kama unapenda gospel songs sikiliza soma vitabu ila usisikilize nyimbo za mapenzi sana. kila la heri
...aiseee maganga mkweli ni kweli upande mmoja wa moyo unasema niendelee kujipa hope labda atarudi lakini upande mwingine unaniambia niendelee na life yangu. kuonana hatuonani mara kwa mara, tupo mikoa tofauti. ila kutokana na mateso ya moyo wacha tu niendelee na maisha yangu....by the way i lke hiyo quote yako naona niiapply tu.....like nothing happened...n life goes on...!!
Time will heal you. Get a life, badilisha kazi upate ngumu na challenging zaidi. New hobbies, change wardrobe and gain ur confidence back. Ungeweza kutumia nguvu zote kujipenda. Ukishindwa kabisa hebu jiongeze, nenda shule. Huko lazma upate mchuchu mpya wa maana,lol