asante lazima Tumpe sharia za humu ndani sio aingie tu bila kujuwa ndani ya JF kuna sheria na sheria ni Msumeno na lazima Sheria zifuatwe au sio Bi First Lady1?
Karibu Ndugu kwenye nyumba ya mijadala. Wewe mwenyeji wa wapi?
thanks mary, nishakaaa....
hivi are you a groom or bride? let me know pleaseasante maria, nilishakaa.....
Mkuu karibu sana hiyo nyumba ni kubwa sana manake kama inabeba watu kama PJ, Fidel80, Masanilo, MTM, Chrispin, JP, georgie porjie, Pdidy, Sipo, Next Level, na wengine wengi pamoja na mademu na wake zao unaamini ni ndogo kweli. Nashukuru kwa kuipenda. By the way inakukumbusha wapi? Isije ikawa tunatoka life style moja, PJ anajua hilo zaidi. Karibu sana nawe ujumuike na mwenza wakoAsante Mkuu nishakaribia, na nakushukuru kuwa mtu wa kwanza kwa ukaribisho, ila nimependa sana hiyo picha ID yako inanikumbusha mbali mno...
sasa nifahamishe kwamba hiyo ndo nyumba ya mijadala? kama ndo hivyo big up ..ila sina uhakika kama wana JF wote wanatoshea humo....
hey wana JF, I'm a new member signed just now.......
Kwanza hongera saana kwa kazi nzuri, nimekuwa nikipitia saana baadhi ya articles hasa za politics, nyingi zimekuwa zikisisimua na kuhudhunisha njisi yambo yanavyopelekwa ki mkanda mkanda, but all in all we're in the same boat, Im sure there is a day we will reach to our promised land together as Tanzanians .. So let us keep on our focus and have the same mission and vision hadi tukakapopata mapinduzi ya kweli ndugu zangu..........asanteni sana.
Sasa unataka Mkuu George_Porjie Watu wawe wanaingia bila ya kujuwa Kuna nini ndani ya JF? na wawe wanatukana na kusema maneno ya ovyo bila kujuwa kama humu ndani ya JF kuna sharia na Sharia lazima ifuatwe, sharia ni msumeno kwa yoyote na lazima ifuatweunaenda mbali.