Najitambulisha Kwenu Wana JF

Promota

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
17
Reaction score
8
Naitwa Laurian.

Mimi ni mpenzi wa kufanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao. Shughuli hizo ni pamoja na ujenzi wa tovuti (website design), uandishi wa makala mbalimbli na biashara za kwenye mtandao (Afffiliate and Network Marketing). Maeneo ninayopenda zaidi ni web design, Social Media Marketing na SEO (Search Engine Optimization) Tovuti zangu binafsi ni pamoja na Home-Based Business Training, Top Wellness Products In Tanzania | Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii na Local Business Marketing In Tanzania - Local Business Marketing In Tanzania.

Hobby yangu kubwa ni muziki na kupiga gita.

Nategemea kushirikiana na wana JF wote kwa lengo moja kuu la kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu mbele.

Naomba mnipokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…