Sungusela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 681
- 485
Hodi hodi wanajamvi, najitambulisha kwenu nikiwa mgeni jamvini japo nimekua msomaji wa muda mrefu sana. Kwa sasa nimeona nami nishiriki katika kuchangia ama kutoa hoja huru hususan wakati huu nchi yetu inapopitia kipindi kigumu kisiasa. Natanguliza shukrani.