Asante sana mkuu kwa nitafanya hivyo juzi kati.Bado haujajitambulisha, jina kamili, unapotoka na shughuli zako, kwa sababu hili ni jukwaa la sihasa, upo chama cha mlengo upi ,rudia tena kujitambilisha ukijaza maswali hayo juu kwa usahihi
haha ha haa... Juzi kati ipi tena mkuu..!?Asante sana mkuu kwa nitafanya hivyo juzi kati.
Ukisikia "nchi inapitia kipindi kigumu" ujue hii ni NYUMBUZZ!Bado haujajitambulisha, jina kamili, unapotoka na shughuli zako, kwa sababu hili ni jukwaa la sihasa, upo chama cha mlengo upi ,rudia tena kujitambilisha ukijaza maswali hayo juu kwa usahihi