Mwenye sifa zifuatazo awe mwa adventista msabato..awe mrefu kiasi..rangi yoyote umri 18 hadi 22...elimu awe amemaliza vidato sita na kuendelea....mcheshi...na mwenye kujari...kabila lolote awe na upendo wa kweli....kwa maelezo zaidi anaweza kunitumia sms kwa namba hizi 0752237407
hata mimi kanichanganya hapo kwenye redawe anajari nini..........?
na we si ungetoa description zako japo kidogo