Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Ni kwenye hatua za kujifunza hivyo nimeona vyema kushare nanyi ili kupata elimu zaidi ya upasuaji.yaani mwili wa mtu ndo ufanyie majaribio?
ndo maana huu uzi umeletwa jukwaa hili
Hahaha we jamaa huna akili kabisa
Anzia kwa ndugu zakoKaribu sana mdau, nahitaji walau watu watatu wa mwanzo ili kujihakikishia kama nimefanikiwa katika masomo hayo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni na kutibu magonjwa mbalimbali kupitia video za mtandaoni. Japo napungukiwa na uhaba wa vitendea kazi kama visu, nyuzi za kushonea, mikasi mikubwa, gloves, nyembe na vitanda vya kufanyia upasuaji ila naamini nitaweza kufanya huduma nzuri kadri nilivyosoma.
Naomba ushirikiano wako kama mdau na kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.
Karibuni wadau
Asante kwa mawazo yako mdau wangu, karibu sana kwa muda mwingine.Anzia kwa ndugu zako
Na vile humu hatujuani unakuta wewe ndo ndugu yake 🏃🏃🏃Anzia kwa ndugu zako
Karibu sana mdau, nahitaji walau watu watatu wa mwanzo ili kujihakikishia kama nimefanikiwa katika masomo hayo
Hapana Mkuu, hujakatishwa tamaa.Asilimia kubwa mnaonekana kunivunja moyo ila naamini nitafikia malengo yangu na kuwa mbobezi wa upasuaji.
Sijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.Sisi kabila letu;
Mtu akisema ameshajua kufanya tohara basi inampasa aanze kuwafanyia watoto wake mwenyewe kwa ufanisi ili watu wakuamini. Ukikosea umewaharibu wanao mwenyewe. Hivyo na wewe kafanye majaribio kwa nduguzo kama huna watoto.
Kwenye mwili wa binadamu hakuna majaribio. Ndiyo maana madaktari wenzako wakitaka kuanzisha tiba, basi majaribio yake hufanywa kwa wanyama. Hii ni kwa sababu hakuna majaribio kwenye mwili wa binadamu.
HhhhhNa vile humu hatujuani unakuta wewe ndo ndugu yake [emoji125][emoji125][emoji125]
Nenda kanunue iringa wale panya wa kufugwa maarufu simbilsSijajua ni aina gani za wanyama wa kufanyia majaribio mdau pia ni ngumu mtu kunipa mnyama wake nimfanyie majaribio kwa jinsi navyojua watu na tabia zao.
Na vile humu hatujuani unakuta wewe ndo ndugu yake [emoji125][emoji125][emoji125]