Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ndugu na rafiki yenu

Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu

Nimeridhishwa pakubwa na mafanikio makubwa ya kiutendaji

Nimefurahishwa na utekelezaji safi wa ilani ya CCM

Hivyo bila shuruti wala tamaa ya kupata faida najitolea kuwa sehemu ya Wanakamati watakaohakikisha mgombea na Jemedari wetu pekee Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Naomba kuwasilisha

Viva Rais Samia

Samia atosha hadi 2035

Hapa kazi tu
 
Chukua na kitanda hicho, uwe unalalia..🤒🤒
FB_IMG_17184786501545187.jpg
 
Ili Rais Samia abaki kuwa Rais, lazima aahirishe uchaguzi usifanyike 2025, akiruhusu uchaguzi ufanyike 2025 basi kuanzia November ataitwa Rais mstaafu.
 
Najitolea Kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ndugu na rafiki yenu

Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu
Nimeridhishwa pakubwa na mafanikio makubwa ya kiutendaji
Nimefurahishwa na utekelezaji safi wa ilani ya CCM

Hivyo bila shuruti wala tamaa ya kupata faida najitolea kuwa sehemu ya Wanakamati watakaohakikisha mgombea na Jemedari wetu pekee Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Naomba kuwasilisha

Viva Rais Samia

Samia atosha hadi 2035

Hapa kazi tu
Jitolee na kupima akili yako kama ipo Sawa. Chawa wa chura hawezi kuwa na akili timamu
 
Najitolea Kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ndugu na rafiki yenu

Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu
Nimeridhishwa pakubwa na mafanikio makubwa ya kiutendaji
Nimefurahishwa na utekelezaji safi wa ilani ya CCM

Hivyo bila shuruti wala tamaa ya kupata faida najitolea kuwa sehemu ya Wanakamati watakaohakikisha mgombea na Jemedari wetu pekee Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Naomba kuwasilisha

Viva Rais Samia

Samia atosha hadi 2035

Hapa kazi tu
Njaa mbaya sana
 
Yani unamanisha tuendelee kuikumbatia rushwa ndio unamanisha hivyo hapana hata kama wewe utakua na masilah Yako binafisi utatusamehe ACHA tu akapumzike kizimkazi alivyovivuna vinatosha Tanganyika kwanza Wala CCM sio mama yetu nasemaa tuwe waungwana kwenye Mambo ya msingi mwacheni mama kizimkazi akapumzike hii bahati mbaya imetutosha. Hatumtaki tenaaa
 
HATUMTAKI.
Kauza bandari, kauza madini, kauza hifadhi ya Ngorongoro, unataka tumchague tena auze na hewa (pumzi) yetu?
 
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ndugu na rafiki yenu

Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu

Nimeridhishwa pakubwa na mafanikio makubwa ya kiutendaji

Nimefurahishwa na utekelezaji safi wa ilani ya CCM

Hivyo bila shuruti wala tamaa ya kupata faida najitolea kuwa sehemu ya Wanakamati watakaohakikisha mgombea na Jemedari wetu pekee Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Naomba kuwasilisha

Viva Rais Samia

Samia atosha hadi 2035

Hapa kazi tu
Nimeona mahali unasifia kiingereza cha Januari Makamba!!

Nimelazimika kuipuuza na hili andiko lako!! Lisome mwenyewe
 
Nani kasema Samia atakuwa mgombea urais 2025?
Halafu kwa nini uchaguziule unatajwatajwa sana wakati kinachofuatia sass ni uchaguzi wa serikali za mitaa.
Sasa kuna panic labda.
Waislamu wameanza tu kulalamika kuhusu bodyguard kuvaa hijab,tayari tunasikia tetesi kwamba mkuu wa TISS atafukuzwa kazi
 
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ndugu na rafiki yenu

Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu

Nimeridhishwa pakubwa na mafanikio makubwa ya kiutendaji

Nimefurahishwa na utekelezaji safi wa ilani ya CCM

Hivyo bila shuruti wala tamaa ya kupata faida najitolea kuwa sehemu ya Wanakamati watakaohakikisha mgombea na Jemedari wetu pekee Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Naomba kuwasilisha

Viva Rais Samia

Samia atosha hadi 2035

Hapa kazi tu

Hii yako ni ndogo

Wenzako wako kwenye level za kusema baada ya Yesu na mtume anaefuata ni mama

So ongeza nyama kidogo kwenye andiko lako
 
Sijasoma, ila mtajuana wenyewe na uchawa wenu wa kulamba.....
 
Dah maskini nchi yangu ona jinsi ukosefu wa ajira unavyofanya baadhi ya vijana waishi maisha ya kujidhalilisha.
Nilimsikia mkuu wa majeshi mstaafu mabeho akiliongelea hili sehemu kwa vijana kama hawa sasa nimeanza kumuelewa
 
Back
Top Bottom