toka kanumba amefariki sioni mtu yeyeto anayemsema vizuri binti huyu,lawama zote zipo juu yake kwa vile tu alikuwa wa mwisho kuwa nae!kwangu ni kama kuangukiwa na jumba bovu,anajitolea kumpa msaada wa kisheria bure kunusuru maisha ya mtoto huyo japo nako ni mapepe,kaliambiwa katulie kasome wapi!!anyone with the same idea?umoja ni nguvu
Sasa unatangaza hapa ili iweje? Nenda lupango ukamjulishe.
Kwa kesi hii wengi watajidai mawakili
Kwa kesi hii wengi watajidai mawakili
Ubaya wewe uwezi kuuona maana una macho lakini huoni,kwa kifupi JF siyo sehemu ya kumuimbia pambio shetani.sijaona ubaya wakutangaza hapa, nadhani ni vema tumpe ushauri kwa hiyo nia yake.
Nadhani hapa jf ni mahali stahili kabisa.
Ubaya wewe uwezi kuuona maana una macho lakini huoni,kwa kifupi JF siyo sehemu ya kumuimbia pambio shetani.
Wewe hapa umejipanga kitu gani?.....unataka kumsaidia Lulu fine is up to you, nenda pale Police ukamueleze nia yako ya kumsaidia unapokuja kuuliza hapa jamvini ili iweje? au mnafurahia porojo zitawale muda wote hapa?kwa hiyo mawakili kupitia hiyo fani yao ni waimba pambio za shetani?.pia nikufahamishe tu kua ni vema ujipange kabla hujachangia mdau,ok!