Najiuliza hivi, lakini sipati jibu....! Dada zetu tusaidieni.

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Ni hivi;

  1. Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je, kulikoni? Tukubali kuwa wanawake ni wachoyo na wakatili?
Kwa kweli........!:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Wapunguzie hayo maswali!!! waoneshe njia waanze na lipi? maswali ni mengi sana hayo!!.
 
HIKO CHANZO CHAKO CHA TAKWIMU NAKILIA SHAKA!!:confused2:
 
Wapunguzie hayo maswali!!! waoneshe njia waanze na lipi? maswali ni mengi sana hayo!!.

kweli apunguze maswali...khaaaa!!!...mpaka mtu unashindwa kujua uanzie wapi.....lakini naweza kujibu swali moja....hakuna mtu anataka kushare hata siku moja....habari ndio hiyo
 

u think you are confused????, Am the one confused here:frusty:, what the hell is all this about!!!!!!!!! wanawake this wanawake that.... hee jamani mtuache. kama unadhani kuwa na mwanamke ni issue basi tafuta dume lenzako mbona nao wana fanya ngono na kufunga ndoa kama wengine tu!
 
uwiano wa wanawake kwa wanaume ni almost 1:1, kwa siyo kwamba labda jinsia moja ni wengi saaaaana kuliko nyingine
 
Kwenye Nyekungu...Sina uhakika sana kama wewe utafurahia kuwa na mwanamke atakayekuwa na roho nzuri ya kushare( sharing means you give and receive) Mara zote wanaume wamekuwa wakiongozwa na tamaa za mwili zaidi kuliko hata akili zao. Hivi wewe u mwema kiasi gani mpaka uone idadi ya wanawake kuwa kubwa basi uwe na wake badala ya mke?

Kumbuka kipimo unachompimia mwezako ndicho hicho hicho utakachopimiwa !!!
 

Jibu ni hili;

  1. Kila uendapo, wanaume ni wachache kuliko wanawake, lakini kila mmoja akimpata mwanamke, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanamke bila kumcheat....! Hapo je, kulikoni? Tukubali kuwa wanaume ni mabaradhuri na wapenda ngono??
Ukistaajabu ya Musa....:confused2:
 


Mbona unaponda badala ya kusaidia? Aidha, nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…