THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Eid Pili kwa wote!
Nimepita Twitter huko nikakuta kitu cha kushangaza sana nikaja hapa nikakuta kishaanzishiwa uzi nikasema vizuri kabisa kwa sababu nowdyas watanzania hawataki ujinga YES!
Watanzania wenzangu hili swala la kutambua kua kipato cha Mtanzania ni kidogo kuliko cha Mmarekani linahitaji GPA ya 4.5
Au swala la kutambua kua Mzunguko wa hela Marekani Ni mkubwa kuliko hapa Tanzania Linahitaji GPA ya 4.5
Inasikitisha sana kuona Rais wa Nchi anasema kua Marekani ina Bei kubwa ya Mafuta kuliko Tanzania.
Najiuliza maswali mengi nikiyaandika hapa Huu uzi utafutwa naogopa ila niishie kusema kua kuanzia saivi tuwe serious na Nafasi ya Mgombea Mwenza wa Urais.