Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Habari za wakati huu wapendwa
Natumai mnaendelea vizuri.
Hakuna binadamu asiye na changamoto ni kwamba tunazidiana tu,tupeane pole maisha yaendelee.
Naamini JF kuna watu wenye upeo tofauti wa kung'amua mambo tofauti kiroho na kimwili na sekta zote.
Kuna jambo nikikaa natafakari sana,najiuliza kwanini inakuwa mimi tu kila mara.
Kiuhalisia mimi ni mkimya lakin pia ni muongeaji sana nikishazoeana na mtu,na mtu wa aibu lakini deep down sina aibu hata kidogo sjui niielezee vip ila mimi nina ule muonekano wa mtu kuniona mpole,mtu nilietulia lakini kiuhalisia mimi ni player,mkorofi,jeuri ndo imelala hapa.
Kuna mmama wa genge alinipa jina fulani mfano mtu anaitwa Daud kuitwa D yule maza alikua nkienda kuchukua mazaga ananiita k mbona hivi na vile naishia kucheka tu,kilichonisurprise siku nlipita na manzi angu kwa kipindi iko alkua mjamzito ndo kunitania k kumbe nawe waga unafanya hivyooo,alkua serious kumaanisha kwamba sifananii,siyo huyo tu wapo wengi wanaonambia sifananii hasa ninapoomba show ama wakinikuta nmechill na manzi mazingira tatanishi utaskia " kumbe fulani wa moto", hawavumi"😃..SWALI LINABAKI KICHWANI kwani mi nafanania vipi??
Ikiwa washikaji zangu hawaniamini hata kuniacha nibaki na manzi zao ila watu mtaani wananiona mtu mpole na sina mambo mengii,something WRONG
kwangu hili si tatizo sana,kuna hili la pili ndo limenifanya nilete thread;
Imekua kawaida mimi ninapojichanganya au kukutana na watu tofauti kurecommend as mimi ni mchungaji au mtu wa dini while nina miaka kadhaa sjakanyaga kanisani,mara nyingi nikikutana na watu character wanayonipa ni mtu wa dini mpaka saivi nipo site fulani jina naloitwa ni mchungaji..masela nawaambia mi naitwa fulani ila wameshikilia mchungaji,kuna mzee mmoja ndo kang'ang'ania kuita haiti jina jingine zaid ya mchungaji licha ya kujua jina langu..
JE NINA KIPAWA HICHO??
ndo swali ninalojiuliza
.kiuhalisia mimi ni mwepesi mno kumjua mtu kupitia macho na jinsi anavyowasilisha maneno yake,nkimuona tu mtu najua nini nifanye ili afurahie au achukie..
.Nina tabia ya kumtreat mtu kadri ya jinsi anavyonichukulia
Akijifanya anajua sana,nampa nafasi then nampa kombora moja anatulia
Akinishinda silaha yangu ni UKIMYA NA KUTOJALI...
KIPAJI CHANGU NI SOKA,KWENYE SEKTA YA MPIRA HUNITOI WAZEE,ILA HIKI KIPAWA NACHOPEWA AU WANACHOONA WATU NDANI YANGU NIKIFANYIE KAZI AU NI MAWAZO TU YA WATU???