najiuliza..


ur right nyumba kubwa huyo aliyepiga simu alikuwa ni kama anataka ku-confirm kwa huyo dada kama na yeye amepata hiyo taarifa kuwa safari imehairishwa, ila by that time huyo dada alikuwa hajapata hiyo taarifa as hakuwa ameaccess email yake, but the next day akatumiwa the same info na codinator kuwa safari imehairishwa.

hilo ya kugawa na namba ya simu NK, kwa maisha ya sasa hivi, kusema mtu ajilimit kutoa namba ya simu,bz mume/mke hapendi, linategemea na nature ya kazi unayofanya, lakini pia maisha yamebadilika sana watu hatuishi tena in isolation, networking ni muhimu,of coz sio na kila mtu ,ni vyema kutengeneza mitandao na watu, ni tabia ya mtu mi naamini ndio inaweza kulinda ndoa/ mahusiano
 
una akili mno wewe.....
tumesahu hili.kidume kimpe mkeo taarifa kikiwa kama nani??//

mhh the BOss hata kama huyo aliyepiga simu si muandaa safari, was it best solution kumpiga mkewe?
 
mhh the BOss hata kama huyo aliyepiga simu si muandaa safari, was it best solution kumpiga mkewe?

sitetei kupiga mke,hiyo ni ujinga
but mwanamke kuweka access ya mawasiliano na fataki inaudhi sana pia...
 
sitetei kupiga mke,hiyo ni ujinga
but mwanamke kuweka access ya mawasiliano na fataki inaudhi sana pia...

the Boss hivi wanawake wote kwenye phone book yako wanajiheshimu? hakuna wanawake ambao una namba zao just bz of kazi or something else ingawa tabia zao hukubaliani nazo?
 
Nikisikia mwanaume anampiga mkewe nashindwa kabisa kuelewa. Unampiga ili iweje? Unamfundisha tabia wakati kesha komaa?

Mi nahisi hawa ni wakosaji maradufu na huwa wanatumia kigezo cha mkong'onto ili kuwakata kauli wake zao na kuficha maovu yao pia, for haiwezekani mtu unaempenda ukamgeuza ngoma jamanii khaaa!! Wengine sijui ndo sifa nao waonekane midume kama wale kina mkuruta MWITA CHACHA WAMBURAAAA!
 

a or b yawezekana yakawa majibu sahihi na huyo mwanaume ndiye anayejua, maana hiyo reaction kila mtu ilimshangaza, mwenzangu wanandoa kumshauri aondoke kama hajaamua utaumbuka i hope ameamua for good kutokurudi bt u never knw
 
Utoto tu huo, wote wana makosa, mke tabia hii alipashwa awashirilishe wazee / mshenga nao waongee na huyo jamaa mwenye wivu ka wa mbwa koko.

Na huyo mke kukimbia matatizo sio suluhisho, apambane nayo kwa kujaribu kilicho juu hapo
 
Ni vibaya sana kumpiga mwanamke kisa wivu,lakn jingine baya unampiga mwanamke wakati ana mimba? hii haikubaliki kabisa kwani wanawake nawaheshimu sana
 
Huko kupigwa ni ishara ya upendo uliopitiliza kama ilivyokuwa kwa hitler kuwa na upendo kwa wajeruman akijitahid kufanya kila kitu kwa ajili yao ila dunia ikamwona dicteta. Huyo mume anampenda sana mkewe kias kwamba hatki hata inzi amsogelee.so ni uchungu tu wa mapenzi unamsumbua
 
kachoka kugeuzwa ngoma kumpiga mkeo ni dalili moja wapo ya kumchoka inamaana huwezi kukua nae kistaarabu nao kutoa hoja zako? unampiga mateke, vibao na ngumi anaenda nje na kupata wanao mpapasa na kumpiga na makisi moto2
 
kwa kweli kwa kupigwa hata mie ningetoka nduki, mtu hana haki ya kumpiga ktu hata akimkuta na kosa gani, cha muhimu ni kuelezana waeleweshane, huyo dada aangalie kwanza, kama ni tabia yake kupiga mara kwa mara ndio afanye maamuzi ya kuondoka ila kama ni mara yakwanza anaweza msamehe
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…