Najiulizaga swali hili

Kama huna uzembe, dharau, wivu, hasira na chuki basi shukuru Mungu yawezekana unafurahia maisha kuliko watu wengi duniani. Mambo hayo huwatesa watu wengi.
 
Matusi hayatakiwi lakini
NI kwèli.
Lakini vipo vichwa vyao vimejazwa matusi. Hawana Kingine kwèñye Maisha wanachojivunia zaidi ya matusi.

Sasa Kwa nini uumizwe na Mtu wa aina hiyo?

Wengine Matusi Kwao ndîo Dawa, hawa ndîo wengi zaidi. Yàani akikutukana au kukukejeli au kukusemea Jambo baya Basi yeye ndîo hujihisi nafuu tenà pale akikuona umeumia ndîo hupona Kabisa.

Sasa inapotokea akakutana na Watu aina yangu àmbao hatujali kuhusu maonî ya watu wengine hujikuta wakiugua zaidi
 
Naona una ruka ruka uzi utambae . Sawa

Unatuambia wewe R ewe una hulka za kizungu?

Kwamba wazungu hawaumii na wewe pia huumii, yaani hufanani na Waafrika😂😂😂😂😂

....

Sijasema Nina hulka ya kizungu sheikhe. Mbona unaniwekea maneno

Hao wazungu nimetoa kama mfano
 
Kama huna uzembe, dharau, wivu, hasira na chuki basi shukuru Mungu yawezekana unafurahia maisha kuliko watu wengi duniani. Mambo hayo huwatesa watu wengi.

Na Kwa nini Mtu awe na chuki, Hasira na wivu Kwa mambo ya Watu Wengine?
Hapa ndîo swali lilipo
 
Na Kwa nini Mtu awe na chuki, Hasira na wivu Kwa mambo ya Watu Wengine?
Hapa ndîo swali lilipo
Inategemea sana jinsi mtu aliundwa ndani mwake, anavyojiona na kuona wengine. Hizo zote ni hisia na zinatokana na very complicated brain processes na wakati mwingine zipo influenced na mambo ya kiroho.

Ukijuhisisha na mambo ya watu kuna uwezekano wa kujikuta kila jambo la watu linakuhusu na hapo ndipo masuala kama wivu yanapoanza.
 
😃😃

Kwamba inafikia hatua maonî ya Watu yanakuwa maonî yako si ndîo
 
Wewe ndiye binadamu kamili, na unaishi kwa kiwango cha ukamilifu wako. Nasema hivi maana binadamu wengi tunaishi kwa maigizo/kuigiza...kutaka sifa si zako, kujifanya ujuaji, kuringa, kudeka na zaidi kutapeli..!
 
Na ili ufurahie Maisha hutakiwi ku-fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…