Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Nami pamoja na binti wangala...naungana nae mkono..kuwa..nawatakia jpili njema sanaaaaNawatakia Jumapili njema
Ngara kubwa ile? Ni mhangaza au mtusi?
Mimi ni mhangaza. Mtanzania mwenzako
Karibu sana JF wa Ngara wapo wengi sana nahisi mtaangalia namna ya kumuondoa yule mbunge wenu Ntukamazina ambae amekaa hana anachokifanya Bungeni
Hello Jf
Nashukuru kujiunga na Great Thinkers,Hope I will gain ,also yu will gain from me.
Thanks
Regards
Bintiwangara.
Bintiwangara@yahoo.com