Najivunia kulala na wanawake wanane kwa usiku mmoja-Waziri Mkuu

Huyo waziri inaonekana alishashindikana...
 
msimpe kichwa jaman ohooo mzm huyo babu au ndo anawagawia virus
 
Ni namna alivyojijengea mazoea kama ni kweli wala hakuna faida yoyote hapo kijamii!
 
Avumae baharini papa, kumbe na wengine wapo. Msimsahau Vasco da Gama wetu. Tafauti ni kuwa Ulaya viongozi wanafuatiliwa, bongo thubutu! Atokee mwandishi wa habari hapa aanike uoza kama huo kwa Vasco Da Gama!
 
Huyo ni SILVIO BERLUScONi

mpuuzi sana huyu jamaa sema kutokuwa na kiongozi anayeweza kusimamia serikali kwa ufanisi anapata kichwa

kuchemsha kwa Prodi kulimwongezea sifa, wakamrejesha uongozini
 
Mbona Mkewe pia aliwahi kulala na wanaume 12 kwa ucku mmoja vilevile, tena wote walikuwa ma-black, sjui kama mwenyewe analijua hilo!
 
Eeehh!!! Kidume cha mbegu wanane usiku mmoja bado babu ni mzima si unazimia kwa kizunguzungu
 
vasco dagama wa tanzania ndo fani zake sema hana nguvu kale kaugnj kamemmaliza!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mambo ukiwa na status flan unapaswa kuyapuuza tuuuuuu,,,,,,
Avumae baharini papa, kumbe na wengine wapo. Msimsahau Vasco da Gama wetu. Tafauti ni kuwa Ulaya viongozi wanafuatiliwa, bongo thubutu! Atokee mwandishi wa habari hapa aanike uoza kama huo kwa Vasco Da Gama!
<br />
<br />
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…