Najivunia kuwa brazamen

Aminia mkuu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah this comment made my evening
 
Ma Gentlemen tuko wachache sana, japo me sio bishoo, ni mgumu lakini napenda vitu classic, City Mall nishatembelea kuna baadhi ya maduka wanauza midosho ya kkoo ila kwa bei kubwa, nishakuwa disappointed sana, japo wapo wanaouza vitu classic hasa viatu, saa kama Hublot.... kununua nguo ya gharama binafsi huwa naona sio shida hasa ukiwa umepanga budget yako vizuri, shida inakuja pale unaponunua shati la 50000 au laki moja halafu linafanana na alilonunua mwenzako mtaa wa Kongo kwa 16000, kama hutojali nijulishe naduka yanayouza nguo classic na unique, me nitatimba
 
hongera mkuu kwa kuwajibu wadau kistaarabu maana kuna comments zingine humu ni kazi kweli kweli 🀣 🀣
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
dadeekiiiii
 
Unazungumzia laki! Si afadhali watunyonge.
Dsm yapo maduka mengi tu ya perfume.. Nenda JD pharmacy mlimani city au citymall mle karibu na DIT kuna duka ghorofa ya pili lina perfume nzuri bei zinaanzia laki kwenda mbele inategemea na budget yako.
 
Mambo ya kuvaa ni passion na hobby. Kuna watu huwa wanapendeza na nguo very cheap, wakati huo wewe umejipinda na nguo expensive na hazikutoi wala nini .

Mimi kuvaa sio hobby wala passion yangu, sema napenda viatu vizuri na huwa sikosei kwenye hilo.
 
Wanaume was dar utawajua mpaka kinondoni. Bado kupaka wanja lipstick
 
🚢🚢Ngoja nikafungue uzi wa wagumu watu tusio na makuu yaani sisi hatujali. Tunaoishi maisha simple.
 
'Ubrazameni' ni gharama ilo lazima tukubali, 'brazameni' wengi wa kibongo wanapenda iyo lifestyle ikiwa kipato kidogo, wavivu wa kufanya kazi, wanachagua kazi, hawataki kazi ngumu ikiwa elimu hawana.....

Upelekea wengine kuolewa na wanaume wenzao ili kuendelea kumentain status yao ya urembo sorry 'ubrazamen'.

Kama kipato Cha wastani ni Bora kuishi casual.
 
Elimu ya kukariri imeathiri watanzania wengi Kama wewe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…