Najivunia kuwa miongoni mwa mashuhuda wa michuano hii mikubwa na maarufu duniani

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Huku chama langu pendwa @SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko ulaya kwa madai kwamba itaua nguvu ya michuano ya ulaya kwa ngazi yavi labu.

Ila leo hii mnyama atakuwa anafuatiliwa na mamilion ya wanamichezo kote duniani.

Huyo kibu d unaemdharau wewe, mzamiru ambae kutwa unamtaja kazeeka,
Kapombe na zimbwe jr watakuwa wanakiwasha mbele ya kiongozi mwenye dhamana ya mpira sio tu duniani, bali ulimwenguni kote!

Nani hapa nyumbani alitarajia michuano iliyoonekana kuwa nanguvu kuliko uefa champions league ingekuja kuzinduliwa huku africa? Tena east africa na mwenyeji kuwa simba?

Asante MO kwa uthubutu wako, najua jambo hili litakupa nguvu zaidi na kuona juhudi zako zinaelekea kuzaa matunda, japo kikosi chetu tiamaji tiamaji, lakini kwa hili la AFL hakika umechangia pakubwa mno.

Twende wanalunyasi tukaipendezeshe BENJAMIN MKAPA STADIUM siku ya ijumaa!

NB: ipo siku kila mmoja ataishabikia SSC.
 
Huku chama langu pendwa
@SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko ulaya kwa madai kwamba itaua nguvu ya michuano ya ulaya kwa ngazi yavi labu.

Ila leo hii mnyama atakuwa anafuatiliwa na mamilion ya wanamichezo kote duniani.

Huyo kibu d unaemdharau wewe, mzamiru ambae kutwa unamtaja kazeeka,
Kapombe na zimbwe jr watakuwa wanakiwasha mbele ya kiongozi mwenye dhamana ya mpira sio tu duniani, bali ulimwenguni kote!

Nani hapa nyumbani alitarajia michuano iliyoonekana kuwa nanguvu kuliko uefa champions league ingekuja kuzinduliwa huku africa? Tena east africa na mwenyeji kuwa simba?

Asante MO kwa uthubutu wako, najua jambo hili litakupa nguvu zaidi na kuona juhudi zako zinaelekea kuzaa matunda, japo kikosi chetu tiamaji tiamaji, lakini kwa hili la AFL hakika umechangia pakubwa mno.

Twende wanalunyasi tukaipendezeshe BENJAMIN MKAPA STADIUM siku ya ijumaa!

NB: ipo siku kila mmoja ataishabikia SSC.
Huku chama langu pendwa
@SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko Ulaya kwa madai kwamba itaua nguvu ya michuano ya Ulaya kwa ngazi yavi labu[emoji419][emoji375][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unapigilia misumari ya moto
 
Sizitaki mbichi hizi, sungura kajisemea, naona nafanya kazi bila faida kujua, machozi yakamtoka matunda akalilia, matunda akalilia sungura nakuambia.
Umeamua umsute Kwa mashairi ya standadi thrii(3)!!
 
Tukitaka tushinde mechi hii, tusitumie Mshambuliaji butu, na Yule kipa mzungu
 
Back
Top Bottom