Najivunia kuwa mzalendo

Hell is real

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
204
Reaction score
364
Habari wakuu hapa tiyari nimelipa kodi ya jengo 2000 nimenunua umeme wa 5000, serikali wamefanya yao!

Kimsingi najivunia kuwa mzalendo, maana wapinzani wametuchelewesha sana, mambo kama haya mazuri walikuwa wanayazuia bungeni, wanajifanya kuwatetea wananchi ambao wengi wao hawajitambui!

Saivi ni raha sana kila jambo likienda bungeni tunaita direct current hamna kizuizi!! Wabunge wamelewa na posho kazi Yao ni ndiyo na posho. Tunaisoma namba. Wote (maendeleo hayana chama)
 
Halafu sijui wananchi huko majimboni wanadanganywa tena kupitiaha sisiemu
 
Mziki ni mmoja ila style ya kucheza ndo kila mtu na yake.. mtanyooka tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…