Watanzania wenzangu, hii inasikitisha sana. Mh. Slaa aliliona hili akalizungumzia kushusha bei ya simenti na mabati. Kama umewahi kuwa mbunge katika jimbo fulani kwa miaka kadhaa, je unaweza kujivunia rekodi ya maendeleo kama inavyoonekana katika picha hizi? Nawakillisha tu......Tuna masaa machache kuleta ukombozi wa pili kwa Mtanzania baada ya ule wa Uhuru 1961. Maoni yanakaribishwa.
Huyu ni kama mbunge Mo wa singida huyu. Duh, hata mwenyewe anashangaa na kusita kuingia ndani. Hakika Slaa ndo mkombozi wetu ili tuondokane na umaskini huu. Loh!
Huyu ni kama mbunge Mo wa singida huyu. Duh, hata mwenyewe anashangaa na kusita kuingia ndani. Hakika Slaa ndo mkombozi wetu ili tuondokane na umaskini huu. Loh!
Ndo maisha vidole haviwezi kulingana hata siku hata akija rais robo tatu ni malaika sembuse mbunge ambaye anategemea zaidi fungu toka serikalini kuleta maendeleo jimboni mwake.
Kesho Kapige Kura Mapema Tafadhari