Najiweka wazi...

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe nuksi,nina mapenzi ila sina pa kuyamwaga,::0712336687:::
 
Picha zangu zipo:::facebook....Johh Bumija,email:::😛icha yako hapa »»»»jrootb@yahoo.Com
 
Mkuu kuna something wrong hujatuambia wanawake wote hawa umekosa kabisaaa???kwanza wewe unataka wazuri wazuri au wa aina gani??jiweke simple na uwe safi muda wote, piga pamba na vaa vizuri alafu uje kutoa jibu, na fanya mazoezi vile vile
 
Kweli mkuu kuna weza kuwa na tatizo may be katika appearance yako or your behaviour , try to change mwonekana wako the way unavyovaa try to be smart, kama unatabia za ulevi,e.t.c make sure you stop them.
 
Duh, hii style mpya ya kusaka wachumba hii, unweka kabisa picha fb. Haya watakuja, ila punguza vigezo find your type au ji upgrade mwenyewe uwe kama wao.
 
haiwezekan ukose mwanamke kaka, hata kama ni domo zege kiasi gan, siku wanawake wala si wa kupiga sound kama zaman had akajifikirie. Siku iz unasema live that let make a deal, bas kwisha kazi. Ila wewe nahis ulisoma seminary sasa so umekaa kilokole sana. Changamka utawapat weng tu
 
Nina wasiwasi na maisha yangu,nina miaka28hadi sasa sina mchumba,Nipo chuo kwa sasa,kila mwanamke nikimtongoza hataki kabisa,nahisi kama vile nina mkosi,naomba dada anayejua kupenda anitoe nuksi,nina mapenzi ila sina pa kuyamwaga,::0712336687:::

Mbona una bahati, achana na mambo ya wanawake. Ishi kama yesu! Utakuwa na furaha zaidi duniani.
 
Da mkuu ogopa watu waliosoma seminary, wanapiga jando balaa!.
 
Ndukiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nilipoona hizo picha...nilitokwa na machozi, usikate tamaa
 
kwa hayo mapozi mwenzangu looo jaribu kua smart na ubadilishe pozi
 
Labda uache kuvaa shati lako la sex, drugs, and sausage rolls.
 
I suspect huyu jamaa sio mwenye hilo jina hapo juu na ameileta hii thread hapa kwa dhumuni la kumchafua muhusika tu. MODs huyu jamaa atoe uthibitisho kuwa ndiye mwenye hilo jina, akishindwa thread ipigwe chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…