Dadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua bila huruma.
Na hakuna aliyethubutu hata kujisumbua kuniulizia kama niko hai au nimerudisha namba kwa kipa ila freshi maana sina nyota ya chipsi mayai. Ila ndo nimerudi hivyo, mtake msitake.