[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeeeeeeeemkuu, jf tunatafutwa na kukumbukwa watu wa maana tu [emoji23] wewe nani akukumbuke
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aiseeeeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, jf tunatafutwa na kukumbukwa watu wa maana tu [emoji23] wewe nani akukumbuke
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua bila huruma. Na hakuna aliyethubutu hata kujisumbua kuniulizia kama niko hai au nimerudisha namba kwa kipa ila freshi maana sina nyota ya chipsi mayai. Ila ndo nimerudi hivyo, mtake msitake.
Jinsi yako tafadhali?Dadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua bila huruma. Na hakuna aliyethubutu hata kujisumbua kuniulizia kama niko hai au nimerudisha namba kwa kipa ila freshi maana sina nyota ya chipsi mayai. Ila ndo nimerudi hivyo, mtake msitake.
Mkuu, kauli yako imeniumiza sana. Kwa hiyo mimi ni kama deo kisandu tu au sio mkuu?mkuu, jf tunatafutwa na kukumbukwa watu wa maana tu [emoji23] wewe nani akukumbuke
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa sisi watanzania wanyonge hatuna nafasi kabisa ya kukumbukwa kwa lolote! Ila poa tu...na nimerudi sasa.Sasa hela ya simu tu huna, nani akutafute?
Nitake radhi mkuu, hata kama kinafiki tu. Lokole kabisa😠😠
Ubarikiwe dada yangu, kumbe watu wenye roho nxuri bado mpo. Asante nimekaribia.The way umeandika uzi wako nimejikuta niko na mixed feelings....kucheka na kusikitika
Mie nilikukumbuka lakini nilihisi tutakuwa pamoja kwa ID nyingine,pole kwa kuibiwa simu
Welcome back!
tatizo sana huyu jamaa
mbona kama unatutishia na kuongea kwa kuchamba chamba kama mwanamke wa uswahiliniDadeq, nimepotea jf kwa muda mrefu kutokana na matatizo binafsi. Niliibiwa simu na ikawa changamoto kupata simu nyingine. Nimefanya vibarua vya kila aina lakini hela yote tumbo likawa linachukua bila huruma. Na hakuna aliyethubutu hata kujisumbua kuniulizia kama niko hai au nimerudisha namba kwa kipa ila freshi maana sina nyota ya chipsi mayai. Ila ndo nimerudi hivyo, mtake msitake.