Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

Amafita

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
165
Reaction score
311
Kwema wana JamiiForums?!!!

Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI.

Hivyo basi kuanzia leo ukienda kwenye kibanda cha Chips sema naomba Vibanzi vya buku-jero au naomba Kibanzi mayai.
 

Attachments

  • IMG-20180610-WA0030.jpg
    IMG-20180610-WA0030.jpg
    16.4 KB · Views: 31
Kisawahili bana eti, Nywila = Password

Maneno ya kisawahili yakitumika ipasavyo itakua vurugu mechi
 
Kisawahili bana eti, Nywila = Password

Maneno ya kisawahili yakitumika ipasavyo itakua vurugu mechi
Ni ngumu sana hilo lipo wazi, kiswahili ni kigumu kuliko kiingereza
 
Back
Top Bottom