Najua kuongea kikorea cha kaskazini njoo uniulize swari lolote kwa kikorea cha kaskazini

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
443
Reaction score
228
Habari za majukumu wakuu nimesomea korea kaskazini miaka mitatu lugha yao mimi ndio nikawa genus wa korea kaskazini sasa nimerudi tanzania kuja kuchukua kozi ya kiswahili tena maana nimeanza kukisahau nikirudi korea kaskazini nawaahidi hwangsong 14 tutaanza kuziripua zile nuclear test maana mimi ndio genus wa mambo ya computer korea ya kaskazini kim jamaa yangu sana [emoji1] [emoji1]
 
neo ileum iya
 
Korea Kaskazini? Nitakuwa wa mwisho kuamini bora ungeniambia ulikuwa unasoma Korea Kusini, Kuna Watanzania nao wafahamu wanasoma Korea Kusini.....

Visa ya kwenda korea kaskazini sijui uliipatia ubalozi wa china ...... Na mahusiano yalivyo siyo mazuri na NK sahau kupata Visa
 
Unamsikiaga rodman kama sijakosea jina, rafiki yake na kim ?
 
Back
Top Bottom