Unanyunyizia wapi mkuu!? Au kwenye papuchi[emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko yao sprit tena ile mpya kabisa nyunyuzia tu siku mbili ushapona ila maumivu yake huta uza mechi tena.
Kiboko yao sprit tena ile mpya kabisa nyunyuzia tu siku mbili ushapona ila maumivu yake huta uza mechi tena.
Wewe ni mzoefu mpaka hiyo umechomaOngezea hapo Penadur......hii ni kali ukichomwa kalio basi huo upande uliochomwa hutaweza kukaa kwenye kiti karibu siku 3 utakuwa unakaa upande upande (tako moja)
Ulitaka kusema sprit, spirit au soda ya spriteKiboko yao sprit tena ile mpya kabisa nyunyuzia tu siku mbili ushapona ila maumivu yake huta uza mechi tena.
duh! basi hiyo dawa kweli noma.Acha kabisa ni antibiotic kuliko zote unazozijua hata kama leo usaa unatoka ujue ukichomwa kesho umepona
Stress ndio zinauwaga..we tulia tu fanya kama huku ngonoka naye.Kuna dem nimepiga kavukavu wiki nzima jana anaanza kuniamba story za kutisha, hadi naota ndoto nmepima nna h.i.v, hapa nawaza nikapime au? Hali sio nzur kwa kweli