Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Wakuu,
Kama kichwa cha thread kinavyosomeka, ni ukweli usiopingika kuwa mavazi ya wanawake yanachangia sana vitendo vya ngono. Sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kuona akina dada mijini wakiwa na mavazi yanayoooneyesha waziwazi miili yao kama vile matiti, mapaja na sasa baadhi wameanza kuvaa nguo zinazoonyesha hata shanga viunoni. Hata bungeni sasa ugonjwa huo umebisha hodi na kukaribishwa kwa kishindo. Kuna picha kwenye Jukwaa la Jamii Photos inayoonyesha dada mmoja akiwa kwenye club moja huku makalio yote yakiwa nje kabisa.
Jamani akina dada chondechonde wanaume kama sisi madume ya mbegu mnatutesa jamani. Tutaangamia wenzenu. Hivi serikali haioni tatizo hili! Na tamwa je?