Najua rushwa ni adui wa haki,Nahitaji kazi hata ya kununua

Najua rushwa ni adui wa haki,Nahitaji kazi hata ya kununua

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
323
Reaction score
105
Habari wana JF,ni mwaka wa 3 sasa tangu nimalize chuo,nimejitahidi kufanya application yoyote inayoendana na fan yangu bila mafanikio,sasa nimeamua kutoa chochote ili nipate kazi,japo naamin rushwa ni adui wa haki lakin inanibidi nifanye hivyo...SO NATAFUTA KAZI YA KUNUNUA.ushauri wa kujenga unaruhusiwa kama huna cha kusema bora usichangie,Naomba kuwasilisha
 
Ndugu Babu wa Loliondo hujasema umesomea fani gani na kama kwa miaka mitatu hukuwa na kazi hizo pesa za kununua kazi unazipata wapi. Ushauri wangu, sekta binafsi inachukulia kuwa ajira ni gharama ya juu hivyo huwa hatupendi kujaribu badala yake tunataka mtu ambaye toka siku ya kwanza ataanza kuonyesha ufanisi; nachotaka kusema ili usiombe kazi kwa kubahatisha tafuta kampuni au taasisi yenye kazi zinazoendana na hiyo fani yako uombe kufanya kazi kwa kujitolea angalau kwa miezi mitatu ndiposa uanze kuomba kazi. Elimu ya darasani peke yake haitoshelezi bila kuonyesha uwezo wa kuitumia kwa vitendo
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu,fani yangu ni Accountant,na nilishafanya kazi za kujitolea au internship for 9 months kwenye kampun la usafirishaji kwa bahati mbaya hilo kampun lilipatwa na matatizo ya kiutendaji na mgongano wa mikataba ya ndani likawa limetaifishwa magari yote kwa vile lilikiuka masharti ya mikataba
 
Habari wana JF,ni mwaka wa 3 sasa tangu nimalize chuo,nimejitahidi kufanya application yoyote inayoendana na fan yangu bila mafanikio,sasa nimeamua kutoa chochote ili nipate kazi,japo naamin rushwa ni adui wa haki lakin inanibidi nifanye hivyo...SO NATAFUTA KAZI YA KUNUNUA.ushauri wa kujenga unaruhusiwa kama huna cha kusema bora usichangie,Naomba kuwasilisha

..aisee tangu 2009? Wengne apa wa june 2012..presha juu kwel yani,dah....kumbe shuhul bdo nene
 
".... Ukitaka kula, lazima na wewe ukubali kuliwa kidogo ..... " "...... Penye udhia, penyeza rupia .... " Bahati mbaya sana umeanza kupiga kelele. kwani ukitoa, ukapata, hasara itakuwa wapi?????? si utakuwa umewekeza????? kwani baada ya muda kidogo tu, na wewe utakuwa kwenye tume ya ajira, si na wewe utajilipa kwa watakao kuwa wanaajiliwa?????
 
Yaan mm ninachotaka wakuu ni kupata kazi tu,mambo ya kuanza kujilipa sio rahisi kihivyo maake life la mtaan ni tait,ujanja wangu wote nilionao mpaka umeisha sasa sina jinsi,kubali kutoa ili upate
 
Back
Top Bottom