Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
- Thread starter
-
- #61
Hilo haliwezekani
Safarii tuko makiniVipi ile spray ishapulizwa, maana wakipuliza tu ile spray yao Mazembe wataregea wale utashangaa..
Mafungu mafungu..Mazembe anashinda
ID inatosha
Nakuweka kwenye kumbukumbu tukutane baada ya mechi...Yani hata kufikiria tu simba atapata goli ni ujinga wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja
Sio roho mbaya tunapenda kilicho bora
Sitoomba msamaha nipigwe life banHukawii kuomba msamaha na kujifanya kuna mtu aliiba password yako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nita tekeleza haadi niliyo toaKuna Mwenzenu Aliahidi Kumtoa Mke Wake Wa Ndoa.
Akaishia Kulialia Na Kuomba Msamaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Frog๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ
Fukua kaburi lako la AS Vita kwanza chura weweYani hata kufikiria tu simba atapata goli ni ujinga wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh simba anapigwa amesimamaFukua kaburi lako la AS Vita kwanza chura wewe
Kinatia urumaKIKOSI CHA USHINDI
SIMBA NGUVU MOJA
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1064057
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitoomba msamaha nipigwe life ban
Bukoba