Najua watoto wamelala muda huu.....

Najua watoto wamelala muda huu.....

STK ONE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
627
Reaction score
184
Jamani wakubwa, najua wengi mpo double....so taratibu jamani, akina dada muoneshe ushirikiano mzuri...na akina kaka siyo lazima nne au sita...na kesho ipo tena tamu kuzidi leo....haya njozi njema na usiku mwema pia.....
 
Akhsante, ndo najaza mafuta hapa. Mwenza anakausingizi kidogo!
 
Akhsante, ndo najaza mafuta hapa. Mwenza anakausingizi kidogo!

Taratibu basi.....viwili kwa afya, si unajua wenzetu wanapokea, sisi tunatoa So ukitaka kukomoa, unaumia mwenyewe....halafu rafu haziruhusiwi, siyo kwa sababu hakuna refa basi kila mara offside......best wishes....
 
Back
Top Bottom