Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Ingia hapa https://nactvet.go.tz/registered-institutions utaona vyuo vyote vilivyosajiliwaNina ndugu yangu anataka kusoma chuo cha nursing kwene hizi college lakini changamoto ni kujua kama kimesajiliwa au Laah!!
Maana kuna watu kama wanne wamesoma vyuo havijasajiliwa hivo hawaajiliki
chuo chenyewe n chimala college kipo kusini njombe mbeya huko
msaada plz
kama hakijasajiliwa hilo ndo jibu amaKwa link hiyo juu..... Hakijasajiliwa
kama hakijasajiliwa hilo ndo jibu ama
Ingia hapa https://nactvet.go.tz/registered-institutions utaona vyuo vyote vilivyosajiliwa