Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Posts
5,059
Reaction score
13,771
Habari wakuu.
Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare tu ili linitoke kifuani.

Ilikua mwanzo kabisa wa mwaka huu kama tar 3 hivi nilikua na huyu dada room ,tuna mahusuano kama ya miezi miwili... alikua ameeenda bafuni kuoga baada ya mechi.

Basi sijui ni nini kikanituma nicheki simu yake. Nikafungua whatsapp nikaona anachat na watu wengi tu. Nikaona kawaida.
Nikaenda kwenye Txt za kawaida nikakuta kuna watu anachati nao wengi tu. Lakini jina moja nikalistukia. Nikafungua charts zake.

Nikakuta last text ina kama siku 4 inamuuliza kama ataenda kulala kwake.. inaonekana walikua wanaongea sana zaidi ya kuchart.

Basi nikazima simu nikairudisha tu.. alipotoka chooni sikumwambia kitu.. kwa hasira nikampiga bao zangu kama 4 akaondoka kwao. Kama baada ya siku 3 nikamuuliza kama ana mtu yyte either kama ni mpya au wakati tunaingia kwenye mahusiano alikuepo..
Alikana kata kata akasema niko peke yangu. Basi nikamwambia kama kuna mtu yyte afanye aachane nae.

Jana hali ya hewa haikua nzuri sana kukaa peke yako.. nilimuita ili tushinde wote. Alikuja bila pingamizi. Basi kama kawaida alipoenda bafuni kuoga nikasema nicheki kama kaachana na jamaa ake.

Nimeingia kucheki Txt nakuta katika kuchart nae jana hio hio.. tena wanaitana 'babe'
Na jamaa alikua anamuuliza tena kama ataenda kulala kwake.. mimi huwa ni mtulivu sana na sipendi kufanya maamuzi ya haraka.. nilirudisha simu yake , wala sikureact hata kidogo. Usiku nimemsindikiza hadi kwao.

Sasa hapa niko nawaza nifanye nini.? Nikisema nimuache hapa mimi ndio nitapoteza sana.. maana mimi ss hivi nipo kipindi ambacho siku stable sana kwenye nyanja nyingi za kimaisha. Hivyo sina muda wa kutafuta dem mwingine.

Huyu manzi ananipa papuchi kila ninapohitaji. Hanaga kipingamizi chochote.. lkn tatizo ni magonjwa na kinyaa cha kujua dem analiwa na mtu mwingine.

Hapa bado nipo kwenye dilemma nashindwa nifanye nini. ..
Na nnajuta kuangalia sms zake..
Nawaasa wanaume wenzangu. Kama dem hutaki kumuoa usiangalie sms zake wala kugusa simu yake.. unajitafutia presha za bure..
 
Kila mtu ashindwe match zake..ila kama ana liwa kwel uwa uhisi kama pussy ulivyo iacha ni tofauti na unavyo ikuta tena ? Binafsi najua kabsa nme iache ivi na nikija naikuta vile vile
Nitakua sina huo ujuzi.. lkn kuanzia sasa sitapiga kavu tena.. maana kulea watoto wasio wako kunaanzaga hivi hivi
 
Achana nae fanya mambo yako...huenda uyo jamaa ni mpya... And remember you can not negotiate the Genuine desire.
Hapa kwenye kumuacha ndio mtihani.. actually sikua na backup kwahio nikimpiga chini nabaki single.. ngoja nijitahidi hii week nipate mchepuko ili nimpige chini mazima..

Kinachoniuma ni kwamba mimi niko faithful sina makandokando
 
Hakunaga demu wa peke ako kwa hii Tanzania ,kikubwa omba tu hao wengine wanaomla wawe salama kiafya ,lasivyo tumia condom ,demu hata ungempa Nini Bado atachepuka tu ,Ni nadra Sana kumpata demu wa peke ako ukizingatia vijana Wana sifa balaa hasa akimiliki kijiusafir Cha m10 huwa wanasumbua Sana .
Sasa jiulize huyo demu wako hatok nje au hadhururi ,haendi sokon na je huko sokon hakuna wanaume.

Vuta picha jinsi ulivyomtaman wewe ndivyo na wengine watamtaman ,pia vuta picha namna alivyokukubalia ndivyo na mwingine atakubaliwa ,.
Note: Hakunaga mwanamke anayeruka mbele ya pesa au vijizawadi zawad vya hapa na pale.
 
Hakunaga demu wa peke ako kwa hii Tanzania ,kikubwa omba tu hao wengine wanaomla wawe salama kiafya ,lasivyo tumia condom ,demu hata ungempa Nini Bado atachepuka tu ,Ni nadra Sana kumpata demu wa peke ako ukizingatia vijana Wana sifa balaa hasa akimiliki kijiusafir Cha m10 huwa wanasumbua Sana .
Sasa jiulize huyo demu wako hatok nje au hadhururi ,haendi sokon na je huko sokon hakuna wanaume.

Vuta picha jinsi ulivyomtaman wewe ndivyo na wengine watamtaman ,pia vuta picha namna alivyokukubalia ndivyo na mwingine atakubaliwa ,.
Note: Hakunaga mwanamke anayeruka mbele ya pesa au vijizawadi zawad vya hapa na pale.
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
 
Hapa kwenye kumuacha ndio mtihani.. actually sikua na backup kwahio nikimpiga chini nabaki single.. ngoja nijitahidi hii week nipate mchepuko ili nimpige chini mazima..

Kinachoniuma ni kwamba mimi niko faithful sina makandokando
Hiyo ndo shida uliyojiwekea...ukiwa na manzi mmoja unatengeneza bomu bila kujua...watu wote waliokua faithfully kwa wenza wao walikuja kujuta...pia unajitengenzea ugonjwa unaitwa oneitis,yani huo ni ugonjwa hatari wa psychology... piga chini tafuta kazi mpya..and next time kua na backup
 
Natafuta dem mwingine.. nikipata tu huyu napiga chini siku hio hio.
Eehh unajipigia huku unatafuta mwingine


Ukimpata Mpya, usimuache huyo kwa kumwambia SIKUTAKI, NMEKUACHA .


Kwa sababu sisi wanaume tunaoenda mwanamke anayetupa papuchi muda wowote tunaotaka....

Huyo Mpya anaweza kua nakupa K kwa kuhesabu ... Utamuona naye hafai.
 
Mkuj ulishawahi kuwa single hata kwa mwezi ukaona mambo yanavyokua magumu.. sasa hivi ninapitia mambo magumu kimaisha.. nikikosa na papuchi hata mara 1 kwa week ninaweza kuchanganyikiwa mkuu.. sio kwamba napenda kushare na mtu
Naelewa hyo hali,unakuta bila kubabua unahis mambo hayako sawa...nmekupa dawa ni kua na backup tu...kisha una mpiga tipa huyo mgawa utamu
 
Back
Top Bottom