Najuta kununua simu ya Milioni 2.3

Najuta kununua simu ya Milioni 2.3

Jambo Afrika?

Mimi kama kijana wa sasa mwezi 4 mwaka huu nilinunua cm kali iphone matata ya million 2.3..

Ila nimekuja kukundua kuwa nimekimbilia maisha ya Wastafu!

So hiyo pesa bora ningeiweka kwenye miradi mingne tu kiukweli najuta.
Mbona hela ndogo, watu wana nunia hadi million 5 na wako kimya
 
Kwanini usinunue ya laki 3 na nusu mbona zipo simu nzuri tu....
 
Jambo Afrika?

Mimi kama kijana wa sasa mwezi 4 mwaka huu nilinunua cm kali iphone matata ya million 2.3..

Ila nimekuja kukundua kuwa nimekimbilia maisha ya Wastafu!

So hiyo pesa bora ningeiweka kwenye miradi mingne tu kiukweli najuta.
Tena za bongo ni fake!
 
Milion 2 ungeweka kwenye mradi gan?
Ww ndo wale waleta mada kwa lengo la kuponda wamiliki wa simu za bei gar wasokua na kaz
 
Hujui nn unataka , Iphone ni za wadada wanaopenda kujiangalia kweny vioo kama kuku.
 
Jambo Afrika?

Mimi kama kijana wa sasa mwezi 4 mwaka huu nilinunua cm kali iphone matata ya million 2.3..

Ila nimekuja kukundua kuwa nimekimbilia maisha ya Wastafu!

So hiyo pesa bora ningeiweka kwenye miradi mingne tu kiukweli najuta.
Usirudie tena...
 
Bila shaka wewe ni wakike ila kama kweli ni kijana basi una tabia na hulka za dada zetu. Anza kwanza kubadilisha hulka na tabia zako majuto kwa sasa hayatokusaidia
 
Back
Top Bottom