ushauri mzuri mama.Nakushauri nenda kamuone Mkuu wa wilaya.
Faiza dadangu utakonda bure kufanya kazi za waliolala ushauri wako pengine ungeutumia kwa wanao ili wafanye vizuri darasani. Hii ccm hii faiza ni zaidi ya uijuavyo utatenguka shingo bure kushupalia kuficha maovu yao huku wenyewe hata hawajali chochote. Faiza how long will you go on grieving over them?think twiceNakushauri nenda kamuone Mkuu wa wilaya.
Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza,
lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi,
wao jibu ni moja tu hakuna pesa,
wadau mi nimetoka Bunda vijijin kwa nauli kidogo ya kukopa na sasa nko hoi kiuchumi,
zaidi wananishauri kurudi nyumbani,
kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa,
naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu
ki ukweli ni hawajakosea inabidi urudi nyumbani pindi utakapotoka kwenye payroll ndo urudi kazini mana bila hivo utakufa na njaa ka ni pesa za kujikimu utazikuta ukirudi.
Nimefika kuripoti hapa Tanga Jiji kulingana na post yangu ya ualimu inavyonielekeza,
lakini mpaka muda huu hakuna anayetujali iwe Afisa Elimu wala Mkurugenzi,
wao jibu ni moja tu hakuna pesa,
wadau mi nimetoka Bunda vijijin kwa nauli kidogo ya kukopa na sasa nko hoi kiuchumi,
zaidi wananishauri kurudi nyumbani,
kitu ambacho naona sio fear ukilinganisha na ahadi za serikali hii kwa kumtumia K majaliwa,
naombeni maelekezo ili wahusika wapate/wasikie kdg kilio chetu
hapa ndipo ulipo sema hayo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...alimu-wanaoripoti-ajira-mpya-hakuna-pesa.htmlNiko kwenye basi toka Bunda kwenda kuripti DSM -Temeke, nilikopangwa post yangu ya ajira ya ualimu,
lakini nimewasiliana na wenzangu watatu ambao washaripoti mmoja yuko temeke kaambiwa warudi j4 kwa kuwa mhusika hayupo,
mwingine yuko bariadi kapokelewa ila wameambiwa hela hakuna, na mwingine yuko manyoni kaambiwa hela hamna, yaani hapa niko kwenye basi najuta kwa nini naenda kuripoti maana sina salio na hali ndio hiyo
hivi si ndio wewe ulisema unaenda kulipoti DAR?
hapa ndipo ulipo sema hayo https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...alimu-wanaoripoti-ajira-mpya-hakuna-pesa.html
haya Mwl umepangiwa kotekote?
jamani samahani sana wana great thinker kwa heshima ya jukwaa hili naomba msinione kama si mtumiaji mzuri wa chombo hiki mhimu na chenye kutusaidia kwa mambo mengi mazuri,
ukweli ni kwamba mi niko tanga jiji,
isipokuwa kuna jamaangu ndio kapangwa temeke dar so siku naandika ile thread ya kuongelea mambo ya dar nilivaa uhusika wa jamaangu,
so sorry nisameheni bure ndugu zangu na kwa pamoja tuendelee kutumia chombo hiki kwa manufaa ya jamii yetu,
ooh hii ndio JF!binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana wewe na walimu wengine!daah yani mmesoma kwa taabu wengine ndio hivyo hata mikopo(bumu) ilikuwa shida huku vyuoni na mmesubir kwa hamu na muda mrefu hizo post zenu huku mkiahidiwa PESA mtazikuta eti walichelewa kuwapangiwa walikuwa wanasubiri pesa kumbe ni maneno matupu!
nimesikia baadhi ya halmashauri wamepewa wengine zote huku wengine nusu na wengine ndo hivyo tena wameambiwa wasubiri serikali hajituma pesa lakini kibaya zaidi ni baadhi ya ofisi za maafisa Elimu na wakurungenzi kutojipanga vizuri yaani hawajui km mmekaa nyumbani muda mrefu na mmepigika sana
Wapi Chama Cha Walimu?nadhani chama chenu kilitakiwa kiwe mstari wa mbele kumbuka jmaa wanaanza kukata ada ya uanachama hata km haujaamua yaani eti ukiwajiriwa tu aoutomatic unakuwa mwanachama wao na makato yanaanza so wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha hampati shida km baadhi waliipata!

Kwani huko nyumbani atakula nini sasa?
Kinachotakiwa ni aingizwe kwenye payrol mapema.
Mana hata wakichelewa kumlipa, kuja kumpa arrears zake watamsumbua sana.